Gani!

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

Gani!

[1]
Furaha gani na ushiriki
Nikimtegemea yesu tu!
Baraka gani, tena amani,
Nikimtegemea yesu tu!

[Tegemea, salama Bila hatari;
Tegemea, tegemea Mwokozi Yesu.

[2]
Nitaiweza njia nyenbamba,
Nikimtegimea yesu tu!
Njia ‘tazidi kuwa rahisi
Nikimtegemea yesu tu!

[3]
Sina sababu ya kuogopa
Nikimtegimea yesu tu!
Atakuwa karibu daima
Nikimtegemea yesu tu!