atafurahi

Language: Swahili
Nyimbo za Kristo

atafurahi

[1]
Wavunaji watafurahi, pale watakapo rudi,
Wakiyaleta mavuno hata Yerusalemu.

Furaha wataipata, furaha hata milele,
Furaha, wataipata, wakati wa mavuno.

[2]
Na siku ile tutaimba, kumshukuru na kumsifu
Bwana Yesu Jumbe wetu, kule Yerusalemu.

[3]
Wavunaji watafurahi makaoni mwa milele
Yaliyowekwa tayari kule Yerusalemi.