Waweza Mwokozi

Waweza waweza waweza mwokozi
waweza mambo yote wewe mwaminifu

Bwana Mungu wangu weee
umenikombowa eee
umeniwezesha mimi wewe ni mkuu
ukaniita kwa jina langu eeeee
ukaniwezesha bwana eee
nikuabudu bwana nikuimbienilipokuwa kwenye dhambi ukanionyesha mwanga mwanga
wewe ni mwanga wangu bwana wewe ni mkuu.

waweza waweza waweza mwokozi
waweza mambo yote wewe mwaminifu x2

Bwana mungu wangu eee
wewe ulimsaidia ayubu
alipokuwa na shida nyingi bwana ulikuwa naye
neno lako linasema unazo fedha eeeeee
zote nizako bwana wewe ni muweza

waweza waweza waweza mwokozi
waweza mambo yote wewe mwaminifu x2

Wakati ninazo shida na magonjwa bwana unasema tuliite jina lako
wewe ndiye muweza wewe ndiye mwenye nguvu wewe ni kimbiliyo baba
waweza mambo yote..

waweza waweza waweza mwokozi
waweza mambo yote wewe mwaminifu x2

unaweza unaweza unaweza baba unaweza x2

Most Liked Songs
song image
1. Baba Ninakupenda

Kiswahili Praise And Worship

song image
2. Naijulikane Kwamba Yupo

Kiswahili Praise And Worship

song image
3. Ametenda Mema

Kiswahili Praise And Worship

song image
4. Nishike Mkono Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
5. Mambo Sawa Sawa

Kiswahili Praise And Worship

song image
6. Katikati Ya Miungu

Kiswahili Praise And Worship

song image
7. Ahadi Zake

Kiswahili Praise And Worship

song image
8. Moyo Wangu Sifu Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
9. Nafsi Yangu Yakungoja Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
10. Sema Nami

Kiswahili Praise And Worship

song image
11. Mfalme Mwema Mtakatifu

Kiswahili Praise And Worship

song image
12. Aliyeniokoa

Kiswahili Praise And Worship

song image
13. Nitamwimbia Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
14. Asante Sana Yesu

Kiswahili Praise And Worship

song image
15. Mtakatifu - Naleta Sadaka Za Sifa

Kiswahili Praise And Worship

song image
16. Una Uwezo

Kiswahili Praise And Worship

song image
17. Nataka Nikujue

Kiswahili Praise And Worship

song image
18. Unastahili kuabudiwa

Kiswahili Praise And Worship

song image
19. Alipo Bwana Yote Yanawezekana

Kiswahili Praise And Worship

song image
20. Baraka za Mungu

Kiswahili Praise And Worship

song image
21. Kama Sio Wewe

Kiswahili Praise And Worship

song image
22. Kanisa Litajengwa

Kiswahili Praise And Worship

song image
23. Damu Yatiririka

Kiswahili Praise And Worship

song image
24. Yu Mwema Yesu

Kiswahili Praise And Worship

song image
25. Amebarikiwa Anayetafuta Uso

Kiswahili Praise And Worship

song image
26. Tunakuabudu Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
27. Omba Utafute Uso Wa Mwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
28. Mwamba Mwamba

Kiswahili Praise And Worship

song image
29. Unastahili Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
30. Mnyunyizi Wangu

Kiswahili Praise And Worship