Lyrics
Font size:
Baraka za Mungu Baba ni za
Ni za ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Amani ya Mungu Baba ni ya
Ni ya ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Upendo wa Mungu Baba ni wa
Ni wa ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Neema ya Mungu Baba ni ya
Ni ya ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Ni za ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Amani ya Mungu Baba ni ya
Ni ya ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Upendo wa Mungu Baba ni wa
Ni wa ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Neema ya Mungu Baba ni ya
Ni ya ajabu (x2)
zaweza kwenda juu
zaweza kwenda chini
zaweza kwenda mbele
zaweza kwenda nyuma
upande upande kwa mataifa yote (x2)
Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.