Lyrics
Font size:
Nitamwimbia Bwana kwa kuwa yeye ameniona. (x2)
Ameniona, ameniona, ameniona, ameniona.
Nitamwabudu Bwana kwa kuwa yeye ameniona. (x2)
Ameniona, ameniona, ameniona, ameniona.
Nitamsifu Bwana kwa kuwa yeye ameniona. (x2)
Ameniona, ameniona, ameniona, ameniona.
Nitamshukuru Bwana kwa kuwa yeye ameniona. (x2)
Ameniona, ameniona, ameniona, ameniona.
Nitamwinua Bwana kwa kuwa yeye ameniona. (x2)

Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.