Song Lyrics

Baba Ninakupenda

Present

Lyrics

Font size:
Baba Baba
Baba ninakupenda
asante sana Baba mwokozi wangu

mimi hapa
mimi sitaona haya kusema wewe wngu
na mii wako

katika maisha yangu Baba
nisaidie nisaidie Baba ah

katika kazi zangu Baba
nisaidie nisaidie Baba ah

katika mwenendo wangu Baba
nisaidie nisaidie Baba ah

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee