Song Lyrics

Alipo Bwana Yote Yanawezekana

Present

Lyrics

Font size:
Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Yeye ni Mungu wa majeshi, vita vikivuma ananipigia
ameshinda vita vyote, alipo huyu bwana mimi nimeshinda.
alipo huyu bwana yote yawezekana

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Jehovah shalom, amani yangu amenipa amani yake
inayopita ufahamu wote, alipo Jehovah shalom amani ni tele.
Alipo Jehovah shalom yote yawezekana

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Jehova rafah mponyaji wangu, aliponya magonjwa yote.
Alituma neno mimi nikapona, alipo Jehovah raafah mimi nimepona.
Alipo Jehovah rafah yote yawezekana.

Alipo bwana alipo bwana, alipo bwana yote yawezekana.
Alipo bwana yote yawezekana, alipo bwana alipo bwana.

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee