Song Lyrics

Mwamba Mwamba

Present

Lyrics

Font size:
Mwamba, mwamba, mwamba, mwamba
Mwamba mwamba, Yesu ndiye mwamba.

Na vijana nao watasimama msingi wao ukiwa
kwenye mwamba.

Na wamama nao watasimama msingi wao ukiwa
kwenye mwamba.

Na wababa nao watasimama msingi wao ukiwa
kwenye mwamba.

Na watoto nao watasimama msingi wao ukiwa
kwenye mwamba.

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee