Song Lyrics

Omba Utafute Uso Wa Mwana

Present

Lyrics

Font size:
Gethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe,
Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu Akashinda
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
dada...
ndugu...

Mtafute Bwana Apatikanapo, Umuite sasa Yukaribu
Asema bwana unapomuita, hakika atakusikia
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Ndugu...
Dada...

Omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu,
Usimame mkamilifu mbele za Bwana daima

Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Dada omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Ndugu omba, omba utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi

Tuombe,
omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Wakenya, omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
Tuombe tuombe, omba, omba, utafute Uso wa
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee