Usifurahi Juu Yangu

Usifurahi juu yangu eeeh adui yangu,
niangukapo mimi nitasimama tena.
Kumbuka niwapo gizani bwana nuru yangu,
hawezi kuniacha bwana mimi niangamie.

Si vyema kunisema vibaya nipatapo tatizo,
shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako
Kumbuka kwa maombi yako nitasimama tena,
na utapata baraka kutoka kwake Mungu

Maana heri mtu yule ambaye kinywa chake,
huwabariki wenzake na kuwaombea.
Maana maneno mabaya huuchafua moyo.
kukuweka mbali na Mungu ni vema uwe safi.

Ukiona nipo kwenye shida (niombee),
Ndoa yangu imevunjika wewe niombee,
Nikifukuzwa kazini ndugu niombee,
Magonjwa yananiandama niombee,
Biashara haina faida niombee,
Nikikawia kupata mtoto nimbee,
Nimekuwa mtoto yatima niombee,
Hata nijapokuwa mjane niombee,

Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa,
Ujue kwa maombi yako mimi nitasimama tena,
Ujue kwa maombi yako nitabarikiwa,

Most Liked Songs
song image
1. Baba Ninakupenda

Kiswahili Praise And Worship

song image
2. Naijulikane Kwamba Yupo

Kiswahili Praise And Worship

song image
3. Ametenda Mema

Kiswahili Praise And Worship

song image
4. Nishike Mkono Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
5. Mambo Sawa Sawa

Kiswahili Praise And Worship

song image
6. Ahadi Zake

Kiswahili Praise And Worship

song image
7. Katikati Ya Miungu

Kiswahili Praise And Worship

song image
8. Moyo Wangu Sifu Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
9. Nafsi Yangu Yakungoja Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
10. Mfalme Mwema Mtakatifu

Kiswahili Praise And Worship

song image
11. Sema Nami

Kiswahili Praise And Worship

song image
12. Nitamwimbia Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
13. Aliyeniokoa

Kiswahili Praise And Worship

song image
14. Asante Sana Yesu

Kiswahili Praise And Worship

song image
15. Mtakatifu - Naleta Sadaka Za Sifa

Kiswahili Praise And Worship

song image
16. Nataka Nikujue

Kiswahili Praise And Worship

song image
17. Alipo Bwana Yote Yanawezekana

Kiswahili Praise And Worship

song image
18. Una Uwezo

Kiswahili Praise And Worship

song image
19. Kama Sio Wewe

Kiswahili Praise And Worship

song image
20. Baraka za Mungu

Kiswahili Praise And Worship

song image
21. Kanisa Litajengwa

Kiswahili Praise And Worship

song image
22. Unastahili kuabudiwa

Kiswahili Praise And Worship

song image
23. Amebarikiwa Anayetafuta Uso

Kiswahili Praise And Worship

song image
24. Tunakuabudu Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
25. Omba Utafute Uso Wa Mwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
26. Damu Yatiririka

Kiswahili Praise And Worship

song image
27. Unastahili Bwana

Kiswahili Praise And Worship

song image
28. Mnyunyizi Wangu

Kiswahili Praise And Worship

song image
29. Mwamba Mwamba

Kiswahili Praise And Worship

song image
30. Bwana Ni Mchungaji Wangu

Kiswahili Praise And Worship