Jina Lake Imanueli

Song Lyrics

Jina Lake Imanueli

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Jina lake Imanueli
Mungu pamoja na Wanadamu
Jina lake Imanueli
Mungu pamoja na wanadamu
Aokoa, aokoa kwa ajabu
Aokoa, kwa ajabu
Aokoa, kwa ajabu
Mungu mwenye nguvu
Anaponya kwa ajabu Mungu
Mwenye nguvun
Jina lake ni Imanueli
Mungu pamoja na wanadamu

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee