Jina La Yesu

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Jina La Yesu

[1]
Jina la Yesu liinuliwe

(Jina la Yesu linaokoa) x2
Jina la nguvu zote

[2]
Jina Ia Yesu Iinaokoa

(Jina la Yesu lipewe sifa) x2
Jina la nguvu zote

[3]
Jina Ia Yesu lina uwezo

(Jina la Yesu lina uwezo) x2
Jina la nguvu zote.

[4]
Jina la Yesu libarikiwe

(Jina Ia Yesu libarikiwe) x2
Jina Ia nguvu zote.