Lyrics
Font size:
[1]
Huu ndiyo wakati wa kutoa sadaka,
Inafaa kila mtu ajifikirie.
Toa ndugu toa ndugu ulicho nacho wewe,
Bwana anakuona mpaka rohoni mwako.
[2]
Kanisani sina fedha na dukani lete vyote
Kwenye nyama manoti Bwana anakuona.
Huu ndiyo wakati wa kutoa sadaka,
Inafaa kila mtu ajifikirie.
Toa ndugu toa ndugu ulicho nacho wewe,
Bwana anakuona mpaka rohoni mwako.
[2]
Kanisani sina fedha na dukani lete vyote
Kwenye nyama manoti Bwana anakuona.
Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.