Hukumu Na Majuto

Song Lyrics

Hukumu Na Majuto

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Hukumu yaningoja nitakimbilia wapi
Ili niponywe na Bwana Yesu aita
Hukumu yaningoja nitakimbilia wapi
Ili niponywe na Bwana Yesu aita

[Chorus]
Nitasema nini Bwana?
Dhambi zangu zanilemea
Nitajibu nini Bwana?
Dhambi zangu zanilemea x2

Bwana niende wapi hukumu hii tayari
Bwana dhambi zangu zanilemea
Bwana niende wapi hukumu hii
Tayari Bwana dhambi zangu zanilemea

[2]
Yesu alimwaga damu kutuponya sisi
Wakosaji ili tusafishwe hima
Yesu alimwaga damu kutuponya sisi
Wakosaji Ili tusafishwe hima

[Chorus]
Nitasema nini Bwana?
Dhambi zangu zanilemea
Nitajibu nini Bwana?
Dhambi zangu zanilemea x2

Bwana niende wapi hukumu hii tayari
Bwana dhambi zangu zanilemea
Bwana niende wapi hukumu hii
Tayari Bwana dhambi zangu zanilemea

[3]
Sote tumwendee mponya ni Yesu kwa nguvu
Tumwombe kwani atatusafisha
Sote tumwendee mponya ni Yesu kwa nguvu
Tumwombe kwani atatusafisha

[Chorus]
Nitasema nini Bwana?
Dhambi zangu zanilemea
Nitajibu nini Bwana?
Dhambi zangu zanilemea x2

Bwana niende wapi hukumu hii tayari
Bwana dhambi zangu zanilemea
Bwana niende wapi hukumu hii
Tayari Bwana dhambi zangu zanilemea

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee