Hukumu Inakuja

Song Lyrics

Hukumu Inakuja

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Hukumu inakuja ndugu yangu,
Ujihadhari na dunia hii:
Niwakati kidogo umebaki
Dunia hii iwake moto.

[chorus]
Watalialialia na kusaga meno
Watalialialia na kuomboleza
Watalialialia na kusaga meno
Na hawatasamehewa X2

[2]
Hakuna usalama siku hizi
Kila pahali ni pa hatari
Ni wakati kidogo umebaki
Dunia hii iwake moto.

[chorus]
Watalialialia na kusaga meno
Watalialialia na kuomboleza
Watalialialia na kusaga meno
Na hawatasamehewa X2

[3]
Uaji umezidi ndugu yangu
Ulevi na unyang'anyi pia
Ni wakati kidogo umebaki
Dunia hii iwake moto

[chorus]
Watalialialia na kusaga meno
Watalialialia na kuomboleza
Watalialialia na kusaga meno
Na hawatasamehewa X2

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee