Lyrics
Font size:
[1]
Duniani si petu, sisi tu wasafiri,
Wa kwenda mbinguni.
[chorus]
Siku moja najua, nitaiacha dunia
Nitafika Mbinguni, kwa Mwokozi
Wangu Yesu tutaishi pamoja.
[2]
Bwana Yesu alisema, atarudi duniani,
Kuwachukua wake.
[3]
Siku hiyo ni kilio, usidanganywe na dunia,
Ukabakia nyuma.
Duniani si petu, sisi tu wasafiri,
Wa kwenda mbinguni.
[chorus]
Siku moja najua, nitaiacha dunia
Nitafika Mbinguni, kwa Mwokozi
Wangu Yesu tutaishi pamoja.
[2]
Bwana Yesu alisema, atarudi duniani,
Kuwachukua wake.
[3]
Siku hiyo ni kilio, usidanganywe na dunia,
Ukabakia nyuma.
Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.