Bwana Mungu Alisema Na Nuhu

Song Lyrics

Bwana Mungu Alisema Na Nuhu

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Bwana Mungu alisema na Nuhu
Akamwambia Nuhu fanyiza safina. (X2)

[chorus]
Watu walilia - sana
Wakaangamia - wote
Walilia Nuhu fungua mlango
Nuhu akajibu - sasa
Sina la kufanya - mimi
Bwana Mungu ameuchukua ufunguo

[2]
Vishike viumbe vya aina zote
Nuhu sikia uviingize safinani. (X2)

[chorus]
Watu walilia - sana
Wakaangamia - wote
Walilia Nuhu fungua mlango
Nuhu akajibu - sasa
Sina la kufanya - mimi
Bwana Mungu ameuchukua ufunguo

[3]
Siku ya mwisho mvua ikanyesha
Muda wa siku arobaini duniani. (X2)

[chorus]
Watu walilia - sana
Wakaangamia - wote
Walilia Nuhu fungua mlango
Nuhu akajibu - sasa
Sina la kufanya - mimi
Bwana Mungu ameuchukua ufunguo

[4]
watu wote duniani walikufa
Hata wanyama na wadudu duniani. (X2)

[chorus]
Watu walilia - sana
Wakaangamia - wote
Walilia Nuhu fungua mlango
Nuhu akajibu - sasa
Sina la kufanya - mimi
Bwana Mungu ameuchukua ufunguo

[5]
Bwana yesu mwokozi alisema
Tubuni dhambi tusiangamie na sisi. (X2)

[chorus]
Watu walilia - sana
Wakaangamia - wote
Walilia Nuhu fungua mlango
Nuhu akajibu - sasa
Sina la kufanya - mimi
Bwana Mungu ameuchukua ufunguo

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee