Baba Mungu Nakushukuru

Song Lyrics

Baba Mungu Nakushukuru

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Baba Mungu nakushukuru
Baba Mungu nakushukuru
Nakupenda, nakusifu, nakusujudia
Baba Mungu nakushukuru

[2]
Mwana wa Mungu nakutukuza
Mwana wa Mungu nakutukuza
Ulinipa wokovu, uzima ninao
Mwana wa Mungu nakutukuza

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee