ATAKAPOKUJA BWANA YESU

Song Lyrics

ATAKAPOKUJA BWANA YESU

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Atakapokuja Yesu Bwana kuchukua Kanisa lake
Na watakatifu wa zamani watafufuliwa wote.

Na siku hiyo ooh-Kiti cha Enzi
Kitazmgukwa na Wateule;
Na kutakuwa ooh-machozi mengi
Yakiwatoka watenda dhambi;
Wakati siri ooh-zilizofichwa mbele
Za Mungu zafichuliwa; aibu nyingi ooh-
Na Mungu Baba ooh-atasimama
Kuwapangusa watakatifu.

[2]
Tutakapofika mawinguni, kuaga duniani hapa,
Tutasema kwa heri Shetani, hatutaonana milele

[3]
Rafiki safisha mwenendo wako, usije kulia Mbinguni,
Siri zitakapofichuliwa, kutakuwa machozi mengi.

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee