Asali Ya Nyuki

Language: Swahili
Nyimbo Za Umoja

Asali Ya Nyuki

[1]
Asali ya nyuki, mwambani
Yesu ni kama asali ya nyuki
Njoo uonje, tamu sana,
Yesu ni kama asali ya nyuki.

[Chorus]
Na vijana njoo muonje....
Na wazee…. Na wamama….