Amani Naiweka Nyumba Kwa Bwana Yangu

Song Lyrics

Amani Naiweka Nyumba Kwa Bwana Yangu

Nyimbo Za Umoja · Swahili
Present

Lyrics

Font size:
[1]
Amani naiweka nyumba kwa Bwana yangu
Bwana akiwepo na mwenye kupenda Amani
Nitakuwa naye daima kwa Mungu
Baba milele na milele

[Chorus]
Mwokozi Yesu tunakuomba tupe Roho
Mtakatifu, tukumbuke vyote tulivyo
Navyo ni mall yake Bwana Haleluya
Asifiwe Bwana Mungu.

[2]
Tunapoambiwa habari ya imani yake
Tujinyenyekeze kwa Mungu Baba Mwenyezi
Nakuweka yote mikononi mwake na halafu atusamehe

[Chorus]
Mwokozi Yesu tunakuomba tupe Roho
Mtakatifu, tukumbuke vyote tulivyo
Navyo ni mall yake Bwana Haleluya
Asifiwe Bwana Mungu.

[3]
Tujue upendo unatungojea kwake
Tukafike mbinguni kwenye imani kweli
Tusipoteze muda tumfuateni Mungu
Kwa Iile asemalo

[Chorus]
Mwokozi Yesu tunakuomba tupe Roho
Mtakatifu, tukumbuke vyote tulivyo
Navyo ni mall yake Bwana Haleluya
Asifiwe Bwana Mungu.

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee