Lyrics
Font size:
[1]
Matendo yako yashangaza
Uliumba mbingu na nchi,
Ukaniumba mwanadamu ili nikuabudu.
Malaika juu mbinguni,
Hata nao wakuabudu,wakisema peke yako unastahili.,
Maserafi na makerubi,
Wainama mbele zako,
Wanasema mtakatifu umetukuka x2
[Chorus]
Umetamalaki,Mungu mwenye enzi
Naliinua jina lako juu sana x4
[2]
Hakuna kama wewe,babaa babaaa(naliinua jina lako juu sana)
Peke yako unastahili,bwanaa bwanaa(naliinua jina lako juu sana)
Wewe Bwana wa majeshi (naliinua jina lako juu sana)
Hakuna jambo usiloliweza (naliinua jina lako juu sana)
Peke yako umetukuka (naliinua jina lako juu sana)
Babaa babaaa (naliinua jina lako juu sana)

Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.