Lyrics
Font size:
[chorus]
[B](Bwana amefufuka)
Shangwe, shangwe kwake mungu
Shangwe shangwe
..................
(Kwake)
[1]
[A/T] (Asante) kwake (Mungu) Bwana wetu
[S] (Ukombozi) (tumepata) kwake Bwana wetu
[All] Kifo chake ni furahaha haha kwetu
(Kifo chake ni furaha kwetu)
Ufufuo ni baraka
[chorus]
[B](Bwana amefufuka)
Shangwe, shangwe kwake mungu
Shangwe shangwe
..................
(Kwake)
[2]
[Sol]Alivyonena (Bwana wetu)
Kwamba atalibomoa (Hekalu)
[Duet] Na kwa siku tatu 'talijenga upya
[Solo] Sasa neno lake limetimia
[chorus]
[All](Bwana amefufuka)
Shangwe, shangwe kwake mungu
Shangwe shangwe
..................
(Kwake)
[B](Bwana amefufuka)
Shangwe, shangwe kwake mungu
Shangwe shangwe
..................
(Kwake)
[1]
[A/T] (Asante) kwake (Mungu) Bwana wetu
[S] (Ukombozi) (tumepata) kwake Bwana wetu
[All] Kifo chake ni furahaha haha kwetu
(Kifo chake ni furaha kwetu)
Ufufuo ni baraka
[chorus]
[B](Bwana amefufuka)
Shangwe, shangwe kwake mungu
Shangwe shangwe
..................
(Kwake)
[2]
[Sol]Alivyonena (Bwana wetu)
Kwamba atalibomoa (Hekalu)
[Duet] Na kwa siku tatu 'talijenga upya
[Solo] Sasa neno lake limetimia
[chorus]
[All](Bwana amefufuka)
Shangwe, shangwe kwake mungu
Shangwe shangwe
..................
(Kwake)
Support My Songbooks
Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.