Song Lyrics

Hata Yesu Alipoketi

Present

Lyrics

Font size:
Hata yesu alipoketi, mlima wa mzeituni,
wanafunzi walimwendea wakamuuliza,
nayo ni dalili gani ya kuja kwako Bwana
naya mwisho wa dunia Yesu akawajibu.

Angalieni, mtu asiwandanganye,
kwasababu wengi watakuja
kwa jina langu.

Yesu kawambia tena, katika siku za mwisho,
manabii wa uongo wotatokea,
na kwasababu hiyo, maasi yotaongezeka
na upendo wa wengi nao utapoa.

Support My Songbooks

Help us expand our library and keep the music alive for everyone. Even a small donation goes a long way.

Buy me a coffeeBuy us a coffee